Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 2:16

Malaki 2:16 NENO

“Ninachukia kuachana,” asema BWANA, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema BWANA wa majeshi. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu.