Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 19:5-6

Luka 19:5-6 NENO

Yesu alipofika pale chini ya huo mkuyu, akatazama juu, akamwambia, “Zakayo, shuka upesi, kwa maana leo nitakuwa mgeni nyumbani mwako!” Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Yesu nyumbani mwake kwa furaha kubwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 19:5-6