Luka 1:31-33
Luka 1:31-33 NENO
Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto wa kiume na utamwita jina Yesu. Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mungu atampa kiti cha utawala cha Daudi baba yake. Ataimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.”