Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 10:3

Walawi 10:3 NEN

Kisha Musa akamwambia Haruni, “Hili ndilo alilonena BWANA, aliposema: “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia nitajionesha kuwa mtakatifu; machoni pa watu wote nitaheshimiwa.’ ” Haruni akanyamaza.