Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 5:14

Yoshua 5:14 NENO

Akajibu, “La, siko upande wowote, lakini mimi nimekuja nikiwa jemadari wa jeshi la BWANA.” Yoshua akasujudu, uso wake ukigusa chini, akamuuliza, “Je, Bwana, una ujumbe gani kwa mtumishi wako?”