Yoshua 1:9
Yoshua 1:9 NENO
Je, si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na shujaa. Usihofu wala usivunjike moyo, kwa kuwa BWANA Mungu wako atakuwa pamoja nawe popote utakapoenda.”