Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoeli 1:14

Yoeli 1:14 NENO

Tangazeni saumu takatifu; liiteni kusanyiko takatifu. Waiteni wazee na wote wanaoishi katika nchi waende katika nyumba ya BWANA Mungu wenu, wakamlilie BWANA.