Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 17:17-19

Yohana 17:17-19 NEN

Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli. Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma vivyo hivyo. Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 17:17-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha