Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 1:40-42

Yohana 1:40-42 NENO

Andrea, nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliosikia yale Yohana alisema na kumfuata Yesu. Kitu cha kwanza Andrea alichofanya ni kumtafuta Simoni nduguye na kumwambia, “Tumemwona Masiya” (yaani Kristo). Naye akamleta kwa Yesu. Yesu akamwangalia na kusema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa” (ambalo limetafsiriwa Petro).