Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 5:3

Yeremia 5:3 NEN

Ee BWANA, je, macho yako hayaitafuti kweli? Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe nao walikataa kutubu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 5:3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha