Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 5:27-28

Yeremia 5:27-28 NEN

Kama vitundu vilivyojaa ndege, nyumba zao zimejaa udanganyifu; wamekuwa matajiri na wenye nguvu, wamenenepa na kunawiri. Matendo yao maovu hayana kikomo; hawatetei mashauri ya yatima wapate kushinda, hawatetei haki za maskini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 5:27-28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha