Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 5:14

Yeremia 5:14 NENO

Kwa hiyo hili ndilo asemalo BWANA Mungu wa majeshi: “Kwa sababu watu hawa wamesema maneno haya, nitayafanya maneno yangu vinywani mwenu kuwa moto, na watu hawa wawe kuni zinazoliwa na huo moto.