Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 5:1-2

Yeremia 5:1-2 NEN

“Pandeni na kushuka katika mitaa ya Yerusalemu, tazameni pande zote na mtafakari, tafuteni katika viwanja vyake. Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja tu atendaye kwa uaminifu na kutafuta kweli, nitausamehe mji huu. Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama BWANA aishivyo,’ bado wanaapa kwa uongo.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 5:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha