Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 37:2

Yeremia 37:2 NENO

Lakini sio Sedekia, wala watumishi wake, wala watu wa nchi walisikiliza maneno ya BWANA aliyonena kupitia kwa nabii Yeremia.