Yeremia 32:5
Yeremia 32:5 NENO
Atamchukua Sedekia hadi Babeli, mahali atakapoishi hadi nitakapomshughulikia, asema BWANA. Kama utapigana dhidi ya Wakaldayo, hutashinda.’ ”