Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 22:3

Yeremia 22:3 NENO

Hili ndilo asemalo BWANA: Tenda haki na adili. Mwokoe mkononi mwa mdhalimu yeye aliyetekwa nyara. Usimtendee mabaya wala ukatili mgeni, yatima au mjane, wala usimwage damu isiyo na hatia mahali hapa.