Yeremia 21:14
Yeremia 21:14 NENO
Nitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu, asema BWANA. Nitawasha moto katika misitu yenu ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka.’ ”