Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 2:19

Yeremia 2:19 NENO

Uovu wako utakuadhibu; kurudi nyuma kwako kutakukemea. Basi kumbuka, utambue jinsi lilivyo jambo ovu na chungu kwako unapomwacha BWANA Mungu wako, na kutokuwa na hofu yangu,” asema Bwana, BWANA wa majeshi.