Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 6:13

Waamuzi 6:13 NENO

Gideoni akajibu, “Nisamehe, Ee Bwana wangu. Kama BWANA yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametutokea? Yako wapi yale matendo yake makuu ambayo baba zetu walitusimulia juu yake waliposema, ‘Je, BWANA hakutupandisha kutoka Misri?’ Lakini sasa BWANA ametuacha na kututia katika mkono wa Midiani.”