Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 16:20

Waamuzi 16:20 NENO

Yule mwanamke akamwita, “Samsoni! Hao, Wafilisti wanakujia!” Akaamka toka usingizini, akisema, “Nitatoka nje kama hapo awali; nitajinyoosha, niwe huru.” Lakini hakujua kwamba BWANA alikuwa amemwacha.