Yakobo 5:8-9
Yakobo 5:8-9 NENO
Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia. Ndugu zangu, msinungʼunikiane, msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!