Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:16-17

Yakobo 1:16-17 NEN

Ndugu zangu wapendwa, msidanganyike. Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha