Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 66:21-22

Isaya 66:21-22 NEN

Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema BWANA. “Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema BWANA, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 66:21-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha