Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 66:21-22

Isaya 66:21-22 NENO

Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema BWANA. “Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema BWANA, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu.