Isaya 66:20
Isaya 66:20 NENO
Nao watawaleta ndugu zenu wote, kutoka mataifa yote, hadi mlima wangu mtakatifu huko Yerusalemu kama sadaka kwa BWANA, juu ya farasi, katika magari ya vita na magari makubwa, juu ya nyumbu na ngamia,” asema BWANA. “Watawaleta, kama Waisraeli waletavyo sadaka zao za nafaka, katika Hekalu la BWANA, katika vyombo vilivyotakaswa.

