Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 59:21

Isaya 59:21 NEN

“Bali mimi, hili ndilo agano langu nao,” asema BWANA. “Roho wangu, aliye juu yenu, na maneno yangu niliyoyaweka vinywani vyenu, havitaondoka vinywani mwenu, wala kutoka vinywani mwa watoto wenu, wala kutoka vinywani mwa wazao wao, kuanzia sasa na hata milele,” asema BWANA.