Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 59:19

Isaya 59:19 NEN

Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la BWANA na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. Adui atakapokuja kama mafuriko, Roho wa BWANA atainua kiwango dhidi yake na kumshinda.