Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 43:20-21

Isaya 43:20-21 NENO

Wanyama pori wataniheshimu, mbweha na bundi, kwa sababu ninawapatia maji jangwani, na vijito katika nchi kame, ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua, watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, ili wapate kutangaza sifa zangu.