Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 36:7

Isaya 36:7 NENO

Nawe ukiniambia, “Tunamtumainia BWANA Mungu wetu”: Je, si yeye ambaye Hezekia aliondoa mahali pake pa juu pa kuabudia na madhabahu zake, akiwaambia Yuda na Yerusalemu, “Ni lazima mwabudu mbele ya madhabahu haya”?