Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 35:3-4

Isaya 35:3-4 NENO

Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea, waambieni wale wenye mioyo ya hofu, “Kuweni hodari, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja kulipa kisasi, pamoja na ujira wake, atakuja na kuwaokoa.”