Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 30:18

Isaya 30:18 NENO

Hata hivyo BWANA anatamani kutupatia neema, anainuka ili kuwaonesha huruma. Kwa kuwa BWANA ni Mungu wa haki. Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!