Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 24:23

Isaya 24:23 NEN

Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; kwa maana BWANA wa majeshi atatawala juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, tena mbele ya wazee wake, kwa utukufu.