Isaya 24:23
Isaya 24:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha mwezi utaaibishwa, nalo jua litaona aibu kuangaza, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi atatawala huko Yerusalemu katika mlima Siyoni; ataonesha wazee wa watu wake utukufu wake.
Shirikisha
Soma Isaya 24Isaya 24:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo mwezi utatahayari, na jua litaona haya; kwa kuwa BWANA wa majeshi atatawala katika mlima wa Sayuni, na katika Yerusalemu, na mbele ya wazee wake kwa utukufu.
Shirikisha
Soma Isaya 24