Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 9:15

Waebrania 9:15 NENO

Kwa sababu hii Kristo ni mpatanishi wa agano jipya, ili wale walioitwa waweze kupokea ile ahadi ya urithi wa milele: kwa vile yeye alikufa awe ukombozi wao kutoka kwa dhambi walizozitenda chini ya agano la kwanza.