Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hagai 2:7

Hagai 2:7 NENO

Nitatikisa mataifa yote, nacho kile kinachotamaniwa na mataifa yote kitakuja, nami nitaujaza utukufu katika nyumba hii,’ asema BWANA wa majeshi.