Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hagai 1:5-6

Hagai 1:5-6 NENO

Sasa hili ndilo asemalo BWANA wa majeshi: “Zitafakarini vyema njia zenu. Mmepanda vingi, lakini mmevuna haba. Mnakula lakini hamshibi, mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hamsikii joto. Mnapata mishahara, lakini inatoweka kama imewekwa kwenye mfuko uliotobokatoboka.”