Habakuki 3:2
Habakuki 3:2 NENO
BWANA, nimezisikia sifa zako; nami naogopa kwa matendo yako, Ee BWANA. Fufua kazi yako katika siku hizi zetu, tangaza habari yako wakati huu wetu; katika ghadhabu kumbuka rehema.