Wagalatia 5:4-6
Wagalatia 5:4-6 NENO
Ninyi mnaotafuta kuhesabiwa haki kupitia kwa sheria mmetengwa na Kristo, mko mbali na neema ya Mungu. Kwa maana, kupitia Roho tunangojea kwa shauku tumaini la haki kwa imani. Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kupitia kwa upendo.


