Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 24:14

Ezekieli 24:14 NENO

“ ‘Mimi BWANA nimesema, wakati umewadia wa mimi kutenda. Mimi sitazuia, mimi sitaona huruma wala sitapunguza hasira yangu. Utahukumiwa sawasawa na mwenendo na matendo yako, asema BWANA Mwenyezi.’ ”