Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 21:26

Ezekieli 21:26 NENO

hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi: Vua kilemba, ondoa taji. Kwa kuwa mambo hayatakuwa vile yalivyokuwa. Aliye mnyonge atakwezwa, na aliyekwezwa atashushwa.