Kutoka 5:22
Kutoka 5:22 NENO
Musa akarudi kwa BWANA na kumwambia, “Ee Bwana, mbona umewaletea watu hawa taabu? Kwa nini basi ukanituma mimi?