Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 29:42-43

Kutoka 29:42-43 NENO

“Kwa vizazi vijavyo itakuwa kawaida kutoa sadaka hii ya kuteketezwa kila mara kwenye ingilio la Hema la Kukutania mbele za BWANA. Hapo ndipo nitakapokutana na ninyi na kusema nanyi, Huko ndipo nitakapokutana na Waisraeli, nalo Hema la Kukutania litatakaswa na utukufu wangu.