Kutoka 2:24-25
Kutoka 2:24-25 NENO
Mungu akasikia kilio chao cha huzuni, akakumbuka agano alilofanya na Abrahamu pamoja na Isaka na Yakobo. Kwa hiyo Mungu akawaangalia Waisraeli na kuwahurumia.