Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 4:25-26

Kumbukumbu 4:25-26 NEN

Baada ya kuwa na watoto na wajukuu na kuishi katika nchi hiyo siku nyingi, tena kama mkijichafua na kutengeneza sanamu ya aina yoyote, mkifanya maovu machoni pa BWANA Mungu wenu na kumfanya awe na hasira, ninaziita mbingu na nchi kama mashahidi dhidi yenu siku hii kwamba mtaangamia mara moja kutoka nchi ile ambayo mnavuka Yordani kuimiliki. Hamtaishi kule kwa muda mrefu bali kwa hakika mtaangamizwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 4:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha