Kumbukumbu 28:4
Kumbukumbu 28:4 NENO
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na mifugo wako wachanga, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.