Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 28:11

Kumbukumbu 28:11 NEN

BWANA atakupa kustawi kwa wingi, katika tunda la uzao wa tumbo lako, katika wanyama wachanga wa mifugo yako na katika mazao ya ardhi yako, katika nchi aliyowaapia baba zako kuwapa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 28:11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha