Kumbukumbu 11:26-28
Kumbukumbu 11:26-28 NENO
Tazama, leo ninaweka mbele yenu baraka na laana: baraka kama mtatii maagizo ya BWANA Mungu wenu, ninayowapa leo; laana kama hamtatii maagizo ya BWANA Mungu wenu na kuacha njia ninayowaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.

