Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:6-7

Wakolosai 2:6-7 NENO

Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Kristo Yesu kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake, mkijikita na kujengwa ndani yake, mkiimarishwa katika imani kama mlivyofundishwa, na kufurika kwa wingi wa shukrani.