Matendo 3:16
Matendo 3:16 NENO
Kwa imani katika jina la Yesu, huyu mtu mnayemwona na kumfahamu ametiwa nguvu. Ni jina la Yesu na imani kutoka kwake ambayo imemponya kabisa huyu mtu, kama nyote mnavyoona.