Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 15:8-9

Matendo 15:8-9 NENO

Mungu, ajuaye mioyo ya watu, alionesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama vile alivyotupatia sisi. Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.

Video ya Matendo 15:8-9